Sunday, August 12, 2012

wadau dada yetu debora anatafuta mchumba,vigezo na masharti kuzingatiwa !

Habari Michuzi Junior, mimi ni mdau mkubwa wa kusoma blog yako, nimeona nijitokeze na mimi leo kutafuta mchumba kupitia blog yako. mimi ni mwanamke, elimu yangu ni ya chuo kikuu, dini yangu ni mkristo mkatoliki, natafuta mchumba mkristo, mwenye umri kuanzia miaka 35mpaka 42, awe mcha Mungu, asiwe mlevi, mwenye malengo na maisha yake ya sasa na ya baadaye. Mwenye elimu ya chuo kikuu pia. Asiyekuwa na watoto wala mke. Mwepesi wa kuwasiliana. Naishi katika nchi mojawapo za ulaya.

Aliye tayari anaweza niandikia kwenye

deborakikoti@yahoo.com 

Asiyekuwa na vigezo hapo juu naomba asiniandikie.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.