Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa balozi mpya wa India hapa nchini Mhe Debnath Shaw leo Agosti 16, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa balozi mpya wa Spain hapa nchini Mhe Luis Manuel Cuesta Civis leo Agosti 16, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na balozi mpya wa India hapa nchini Mhe Debnath Shaw baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Agosti 16, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na balozi mpya wa Spain hapa nchini Mhe Luis Manuel Cuesta Civis baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Agosti 16, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Kikwete akiagana na baadhi ya wananchi wa Tanga waliojitokeza kumsindikiza baada ya kushiriki kwenye futari waliyomwandalia jana Agosti 15, 2012 jijini Tanga.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema katika uwanja wa ndege wa ,kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Agosti 16, 2012 muda mfupi kabla ya kuondoka kuekelea Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC jijini Maputo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali aliyemsindikiza katika uwanja wa ndege wa ,kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Agosti 16, 2012 muda mfupi kabla ya kuondoka kuekelea Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC jijini Maputo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru baada ya kushiriki katika futari aliyoandaliwa na wananchi wa Tanga jana Agosti 15, 2012 jijini Tanga.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya Magharibi kabla ya kushiriki katika futari aliyoandaliwa na wananchi wa Tanga jana Agosti 15, 2012 jijini Tanga.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya Magharibi kabla ya kushiriki katika futari aliyoandaliwa na wananchi wa Tanga jana Agosti 15, 2012 jijini Tanga.Picha na IKULU.













Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment