Saturday, August 4, 2012

Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

Muwe makini jamani, aah!! Sasa ni register nini ili kufanya nini???? Toeni maelezo kwanza ili nihamasike kuingia kwenye website yenu.

We anonymous: Jifunze kusoma na kuelewa sio unajiandikia vitu huvielewi. Ukisoma hiyo posture utapata majibu ya viswali vyako vyote ulivyouliza... usikurupuke!!