Sunday, August 19, 2012

NI ZAMU YA MABONDIA ZOLA D NA MCHUMIATUMBU UZITO WA JUU

 BONDIA David Michael Mlope (Zola D – King)  Alphonce Joseph (Mchumiatumbo) wakijinadi
 Bondia David Michael Mlope (Zola D – King) akitunishiana msuli na Alphonce Joseph (Mchumiatumbo) wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya idi pili katika Uwanja huo huo wa Chuo cha Bandari Temeke
 Bondia David Michael Mlope (Zola D – King)  akipima uzito leo kwa ajili ya mpambano wa idi pili utakaofanyika katika Uwanja huo huo wa Chuo cha Bandari Temeke.
BONDIA Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo) akipima uzito jana kwa ajili ya mpambano wake na David Michael Mlope (Zola D – King) KULIA.picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.