Wednesday, August 1, 2012

mwanahalisi yaitaka serikali kufuta tamko lake la kulifungia gazeti hilo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali halis , inayochapisha Gazeti la Mwana Halisi Bw, Saed Kubenea, akionyesha baadhi ya Magazeti yaliyolalamikiwa na Serikali.Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali halisi, inayo chapisha Gazeti la Mwana Halisi Bw, Saed Kubenea, akiongea na Waandishi wa habari katika Ofisi za Kampuni hiyo juu ya malalamiko yake kwa serikali kutokana na kufungiwa kwa gazeti lake la Mwana Halisi jana ambapo alilaani vikali uamuzi huo uliochukuliwa na serikali na hivyo kuitaka serikali kufuta mara moja Tamko lake. Picha kwa hisani ya Global Publisherz.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.