Bila ya shaka yoyote ,kila mwanadamu ana ndoto yake kimaisha,ambayo kishaichorea mikakati au "Blue Print" ya mchanganuo wa kuifanya ndoto hiyo kuwa kweli !? Lakini pamoja na kuwa kila mwanadamu ana ndoto yake na mtazamo wa njia hipi? aelekee katika kufikia kituo cha safari ya mafanikio ya maisha.
Tunajikuta binadamu wote tunalengo la kufikia kituo kimoja cha maisha yaani kuishi maisha bora, Na wengi wetu imebidi wasafiri mbali na nyumbani walipo zaliwa, Inaweza kuwa nje ya kijiji chako,au mkoa wako,au pengine mahali panapoitwa nje ya nchi kama vile Ulaya,Amerika,Asia na kwingineko hili mradi kutafuta maisha bora au msingi wa maisha bora lakini safari yenyewe inakuaga kama vile mchezo wa koro koro jionee mwenyewe Video hiyo hapo juu.





Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment