Jahazi Modern Taarab chini ya Mfalme Mzee Yusuf watafanya onyesho kubwa na la aina yake Jumapili 26/8/2012 ndani ya ukumbi wao wa nyumbani, Travertine Hotel Magomeni. Onyesho hilo lililopewa jina la "Usiku wa Sina muda huo" litakuwa ni la kwanza kwa Jahazi ukumbini hapo baada ya mfungo wa Ramadhani. wa mujibu wa Mzee Yusuf, Jahazi watashuka na vionjo vipya kabisa walivyoviandaa kwa mwezi mzima wa mapumziko ya mwezi mtukufu.



Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment