Wednesday, August 1, 2012

happy besdei Sellah Muhidin.

 Leo ni Hepi Besdei ya Kuzaliwa mtoto Sellah Muhidin naye akaamua akasherehekee na wanafunzi wenzie wa shule ya Lady Chesam  Nursery School iliyopo Oysterbay jijini Dar es salaam. Sellah, ambaye anatimiza miaka 3,  ni mtoto wa mwisho wa Ankal.
 Sellah Muhidin akimlisha mwanafunzi mwenzake keki.
 Ankal akiwa amepozi kwa picha ya ukumbusho baada ya mnuso wa keki kupita.
Sellah Muhidin akisherehekea siku yake ya kuzaliwa na watoto wenzake.

Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

Aunt Sellah Hongera sana kwa siku yako ya Kuzaliwa,sisi tunakutakia afya njema,maisha bora,Elimu na furaha nyingi...tunaomba siku ingine nasisi utupostie kipande cha keki
Hongera sana kutoka kwa

wadau FFU