Sunday, August 5, 2012

FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI YA UWT TAIFA ZAANZA KURUDISHWA

Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa Bi, Halima Mohamed Mamuya.

Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa Bi, Halima Mohamed Mamuya  kulia akirejesha fomu ya kuomba kugombea nafasi hiyo kwa Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni  UWT Makao Makuu Bi Riziki Kingwande Dar es salaam leo.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.