Thursday, August 16, 2012

BONDIA RASHIDI MATUMLA AJIFUA KWA KINYOGOLI KWA AJILI YA MPAMBANO WA IDdI MOSI DAR LIVE


Kocha  Mkongwe wa mchezo wa Masumbwi nchini  Habibu Kinyogoli 'kushoto' akimfua bondia Rashidi Matumla wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Matumla anajiandaa na kupambana na Maneno Osward siku ya Iddi Mosi, litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live .picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.