Thursday, August 23, 2012

Bibi tukinano aibuka Mshindi wa shindano la Bibi Bomba

Shindano ambalo lilikuwa likionyeshwa na kuandaliwa na Clouds Media Group kupitia kituo chake cha CLOUDS TV,ambapo baadhi ya mabibi walikusanywa na kuwekwa  kambini kwa muda mwezi mmoja na ushehe huku kila mmoja akionesha kipaji,ufundi na utundu alionao na bibi aliyeibuka kidedea .Kwa hisani ya http://kingjofa.blogspot.com

Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

Bibi Tukinao amestahili kuchukua kile kitita duh bi Tukinaoo ameula.

ebwana bi Tukinao kweli alistahili kuchukua kile kitita

ebwana huyu bi Tukinao anastahili kuchukua kile kitita

 
Nafasi Ya Matangazo