Wednesday, July 18, 2012

washiriki wa Mkutano wa kanda wa SADC ndani ya afrika kusini.


Wanasheria kutoka Ofisi ya makamu wa Rais kushoto, Bw. Nehemia Mandia, kulia Bw. Isakwisa lameck Mwankonda na Afisa habari Bi Evelyn Mkokoi katika Picha ya Pamoja wakijiandaa kuingia katika Mkutano wa kanda wa SADC unaohusu utekelezaji wa mikataba ya kimataifa ya Bayonuwai pamoja na Baiteknolojia jijini Johanesberg  Africa ya Kusini.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.