Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Bw. Cornel Kananila Mtaki akila kiapo
Kamishna Mary Cresent Massay akila kiap
Kamishna Salma Abdi Chande akila kiapo
Kamishna Evod Paul Mushi akila kiapo
Kamishna Sauli Herbert Kinemela akila Kiapo
Kamishna Yahya Kitambazi Msigwa akila kiapo
Rais Kikwete akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dkt Makongoro Mahanga (wa tatu kushoto) katika picha ya pamoja.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Makamishna wapya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi baada ya kuwaapisha.PICHA NA IKULU





.jpg)





Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment