Thursday, June 28, 2012

Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

TATIZO BINADAMU TUNAFIKIRI TUMEONA KESHO, BINADAMU GANI ANAWEZA KUMPIGA MWEZIE HIVI FOR THE SAKE OF SERIKALI YA KIFISADI HIVI? HANDS DOWN HALI NI NGUMU NCHINI, KILA KONA KUNAHITAJI MAREKEBISHO, MNA ONGOZA BINADAMU, SIO WANYAMA AU MATAAHIRA UTAWABURUZA TU.. HELL NO, TUTADAI MPAKA HAKI ITENDEKE, TATIZO HAWAELEWI UPEPO UMEBADILIKA SASA, WALIYOYAFANYA MABABA ZAO NI WELL OVER WANASUBIRI HUKUMU, KAMA SIO DUNIANI BASI YAJA, TUMUOGOPE MUNGU, MADAKTARI WENYEWE WAWILI ALAFU TUNAWAPIGA HIVI!! DAKTARI INGEBIDI ALIPWE KULIKO MBUNGE, MAANA YUPO PALE KUOKOA MAISHA YA KILA MWANANCHI JUMLISHA NA KIONGOZI WAO, INASIKITISHA SANA

kwa kweli inasikitisha mno baba wa watu kufanyiwa tukio la kinyama la jinsi hii, inaonyesha kuwa matukio kama haya yamekuwa yakifanyika mara nyingi hapa nchini Tz ni Mungu tu ametaka kuwaumbua hao watu, wanajulikana hata kwa kauli zao zinavyojigonga pamoja na kuwa watu wataalamu wa Lugha nzuri katika hotuba. Ole wao wote waliohusika Mungu Katika Biblia amesema mshahara wa Dhambi ni mauti, Kwa kuwa chama hiki kikuu kinahusika pamoja naviongozi wake kukataa kata kata nawatabiria kufa 2015. Alafu wanajidai tume iundwe kuchunguza tukio hili, nashukuru Mungu hakuna cha tume wala nini ni unafiki mtupu. Naanza kuamini kuwa hata baba wa Taifa huenda kulikuwa na Mkono wa mtu.Endeleeni kufanya maovu yenu Mungu atawalipa hapa Duniani na KESHO ahera mara dufu.Wamempiga sindano ya kuferisha figo, wamempokonya simu , waleti wakati alikuwa akiwapigania watanzania woote. Mungu muokoe mtunze na kumuweka hai kama ulivyompigania Dr. Harrison Mwakyembe, Magufuri na Mwandosya. Amen