Friday, June 29, 2012

huduma ya airtel jiunge na supa5 yawavutia wakazi wa mtwara

Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania Bi. Jane Matinde (kulia) akitoa zawadi ya simu kwa mmoja wa wakazi wa mji wa Mtwara, Prisca Yonasi, aliyejitokeza katika hafla ya uzinduzi wa promosheni ya Jiunge na Supa
5 ya Airtel katika uwanja wa Mashujaa, Mkoani Mtwara leo.
 Sehemu ya umati wa watu waliojitokeza  katika uzinduzi wa promosheni ya Jiunge na Supa 5 ya Airtel katika uwanja wa Mashujaa, Mkoani Mtwara leo.
Baadhi ya wakazi wa Mtwara wakijiunga na Supa 5 wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo mjini Mtwara jana. Anayewaunganisha na Bi. Eva Mrutu wa timu ya mauzo ya Airtel.

Wakazi wa Mtwara, Shabani Issa Zuberi (kushoto) ambaye ni bubu na asiyesikia akichuana na Kassim Rashidi kucheza muziki   katika hafla ya uzinduzi wa promosheni ya Jiunge na Supa 5 ya Airtel katika uwanja
wa Mashujaa, Mkoani Mtwara leo. Shabani alishinda.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.