Friday, May 4, 2012

Rais Kikwete akutana na Mwenyekiti mtendaji wa Coca Cola pamoja na Mwenyekiti Mtendaji wa Pan African Energy

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji Mkuu wa kampuni ya CocaCola Bwana Muhtar Kent ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi wakati alipomtembelea.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwenyekiti mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Pan African Energy BwanaDavid Lyons, ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi(picha na Freddy Maro).

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.