Friday, May 4, 2012

afrikwetu kushiriki tamasha la Doa doa nchini uganda hapo kesho




Wasanii wa muziki wa asili  wanaounda kundi la Afrikwetu Band Wanatarajia kufanya show  yao kabambe kesho Jinja nchini Uganda,kwenye tamasha la Doa Doa.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.