Mkurugenzi Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Tutubi Mangazen akifunguwa Warsh ya Elimu ya Uzalishaji na Matumizi Endelevu kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Makamu wa Rais kulia Mkurugenzi Mazingira Dk Julias Ningu,Mwakilishi wa UNEP Paris Bi Khairoon AbassKushoto Mkurugenzi wa Barazi la Taifa na Uhifadhi wa Mazingira [NEMC]Eng Boniventure Baya,Mwakilishi wa UNEP nchini Tanzania Bi Clara Makenya.
Mwakilishi wa UNEP Nchini Tanzania Bi Clara Makenya akizungumza kwenye Warsha ya Elimu ya Uzalishaji na Matumizi Endelevu iliofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Kulia Mkurugenzi wa Mazingira Dk Julias Nigu,Mkurugenzi Utawala Rasilimaliwatu Bw Tutubi Mangzen,Mkurugenzi Baraza la Taifa NEMC Eng Boniventure Baya na Mwakilishi wa UNEP kutoka Paris BiKhairoo Abass, leo Mtaa wa LUthuli Mjini Dar es Salaa.
Washiriki wa Warsha ya Elimu ya Uzalishaji na MatumiziEndelevu wakiwa katika Picha ya Pamoja Mara baada ya Ufunguzi leo kwenye Ofis ya Makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam.[Picha na Ali Meja]







Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment