Thursday, February 2, 2012

LIBENEKE JIPYA LA 'Rural and Urban '!

Heshima zenu Wadau wote Nilikuwa napenda Kuwatambulisha Kwenu Blog  mpya ya Rural and Urban ambayo  itakuwa ikizungumzia maisha hayo zaidi ya mjini na Vijijini. Karibuni sana ukiona Link hii mpatie na mwengine. Natanguliza Shukrani zangu asanteni. Kutembelea Libeneke hili Bofya 

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.