Thursday, January 26, 2012

mikataba miwili ya mradi wa ukarabati wa barabara ya Korongwe-Mkumbara-same yasiniwa leo jijini dar

Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale (kushoto) wakibadilishana hati ya mkataba baada ya kusaini na Mkandarasi kutok a kampuni ya DOTT Services Ltd kutoka Uganda  ambae ni Meneja Mkuu kwajili ya kukarabati   Mkumbara- Same (96km) utakaogharimu shilingi 65,129,670,563,82 za kitanzania, leo jijini Dar es Salaam-Picha na Mwanakombo Jumaa-MALEZO.
Mtendaji Mkuu wa  Wakala wa Barabara (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale (kushoto) pamoja na Mkandarasi kutoka  ya DOTT Services Ltd kutoka Uganda ambae ni Meneja  Mkuu Bw.G,Prudhvi Raj wakiwekeana saini mkataba wa ukarabati wa ujenzi wa barabara ya  Korogwe- Mkumbara- Same leo jijini Dar es Salaam, Mradi huo utagharimu  zaidi ya shilingi 12 bilioni. ambapo kampuni  hii itakarabati kapande  cha Mkumbara- Same (96 km) kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 65 za kitanzania.
 Makamo Mwenyekiti  wa  Kamati ya Miundombinu na Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki Anne Kilango Malecela (kulia) akishukuru katika hafla hiyo ya  mradi wa ukarabati wa barabara ya  Korogwe- Mkumbara- same (km 172) ambayo utagharimu zaidi ya shilingi 12 bilioni za kitanzania, hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Waziri wa Ujenzi Dk, John Magufuli ((pichani  hayupo) na (kushoto) ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo Balozi Herbert Mrango,
  Waziri Magufuli (kulia) akiteta na Mhandisi John Ndunguru (kulia) katika hafla hiyo
Baadhi ya wakandarasi wakiwa katika hafla ya kusaini mikataba ya mradi wa ukarabati wa barabara ya Korogwe- Mkumbara- Same.Picha na Mwanakombo Jumaa-MALEZO.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.