Mamia ya waombolezaji wakazi wa Mzumbe Morogorogo na kutoka nje ya Mkoa huo wakishiriki katika kushusha sanduku lililohifadhi Mwili wa Marehemu John Franklin Chekani aliyefariki Januari 20, 2012 nchini Namibia ambako alikuwa akifanya kazi katika Chuo Kikuu cha Polytechnic cha nchini humo. Marehemu amezikwa jana katika makaburi ya Mikongeni Masarawe Mkoani Morogoro.Picha zaidi Bofya Hapa.








Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment