Sunday, January 29, 2012

FRANCIS CHEKA AMDUNDA KALAMA NYILAWILA KWA POINT

 Vijana nikiwaambia hawasikii..!
Fransic Cheka akinyosha mikono juu baada ya kuibuka mshindi na refarii Nemes Kavishe huku Bondia Kalama Nyilawili Amini matokeo hayo(picha
Bondia Francis Cheka (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupa  masumbwi na Kalama Nyilawila wakati wa mpambano wao uliofanyika  uwanja wa Jamhuri Morogoro mwishoni mwa wiki cheka alishinda kwa  pointi
Askali wa usalama wakiendeleza ulinzi wakati wa mpambano huoo jana.www.superdboxingcoach.blogspot.com)

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.