Wanamuziki wa Mapacha Watatu wakifanya vibwaka vya jukwaani.
| Msanii wa kizazi kipya TID akikamua jukwaani. |
Mr Blue akikamua mbele ya umati mkubwa watu uliofurika ndani ya viwanja vya Dar Live.
Msanii wa kizazi kipya akiwaburudisha wakazi mbalimbali wa mbagala.
Mwanamuziki wa kundi la Mapacha watatu,Khalid Chokira wakishuka kwenye mfano wa ndege. Palikuwa hapatoshi jukwaani.
Watoto wakishindana kucheza staili ya kiduku jukwaani







Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment