Thursday, March 31, 2011

funguka na mjadala wa kusaka jibu kuhusiana na kikombe.!

Mwandishi na mtafiti wa masuala ya kijamii Bwa.Chambi Chachage akizungumza na Dr Emmanuel Kandusi mapema leo mara baada ya kumaliza kuzungumza mjadala wa kusaka jibu kuhusiana na mambo mbalimbali ambayo yamekuwa yakiibuka hivi karibuni ikiwemo masuala ya “KIKOMBE”.
Kipindi cha PB kilipokuwa kikiruka LIVE leo asubuhi .

Kipindi cha Power Breakfast leo asubuhi kimeendesha live, mjadala wa kusaka jibu kuhusiana na mambo mbalimbali ambayo yamekuwa yakiibuka hivi karibuni ikiwemo masuala ya “KIKOMBE”.Mjadala huo umefanyika ndani ya hoteli ya Kilimanjaro Kempinsk,jijini Dar.

Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

wote hao wamekosa cha kufanya...upuuzi mtupu..

Kama mtu anataka kusikiliza mazungumzo hayo abonyeze link hii http://dullonet.com/2011/03/31/ukweli-ni-upi-hii-ni-kutoka-pb-ya-cloudsfm/