728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, January 12, 2011

  jiachie kimatukio zaidi ya hapa na pale na wadau...!

  Baadhi ya Mashostito wakiwa na maua yao kwa ajili ya kuwachum chum wasanii waliokuwa wakizundua albamu zao usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar,uzinduzi huo ulikwenda sambamba na maadhimisho ya miaka 5 ya kituo cha vipaji,THT>
  Bofya hapo na uburudike na Mduara wa Mataluma,alivyokamua usiku wa kuamkia leo.

  Shoto ni msanii Siza wa B Band,Maunda Zorro pamoja na Mdau wa kigeni aliyekuwepo kushuhudia makamuzi ya miaka mitano ya THT usiku wa kuamkia leo,Mlimani City jijini Dar.
  Da'Rebbeca kutoka THT akiwa amepozi na Ben a.k.a mkali wa magrafiks
  Mratibu Hamza pamoja na Teacher Nkya wote kutoka THT.
  Shoto ni mdau MxCarter,Babu Tale pamoja na mdau mwingine katika mpango mzima wa Jiachie kijanja.Wadau wa Jiachie hata kwa simu never miss, lazima waperuzi.
  Jackson kwa pozi we ni mkare.!
  Ni mpango mzima wa kujiachia kijanja mbele ya camera ya jiachie,usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar ambako kulikufanyika hafla ya kutimiza miaka 5 ya kituo cha THT sambamba na uzinduzi wa albamu sita za wasanii wa kituo hicho,uliofana kwa kiasia kikubwa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  5 comments:

  1. Huyo MxCarter ni MDAU wa nini sasa ?
   Muziki,Habari au kitu gani ?

   ReplyDelete
  2. Hongera THT kufikisha miaka 5

   ReplyDelete
  3. Sijaelewa uvaaji wa Maunda Zorro, there is a time and place for everything but this is not the place to dress like this with so many dignitaries around. Disco huwa anavaaje? She really looks like a hooker on call! (labda yuko kazini). Tujiheshimu jamani Watanzania!

   ReplyDelete
  4. Hivi huyu Maunda Zoro hajiheshimu hata kidogo,yeye anafikiri kuvaa hivyo ndio usupa staa?Mbona anawaaibisha familia yao?mmmmh duniani kuna mambo!!!!!!

   ReplyDelete
  5. Yaani huyo Maunda anatia kichefuchefu mshaurini mahali pa kuvaa hizo nguo zake za mitumba, mahali waziri wa habari na michezo na waziri mkuu wa zamani walikuwepo inategemewa angevaa kiheshima ukiwa mwanamuziki sio ukae kama malaya wa night clubs. Amechukiza sana na natoa ushauri kama hataki kuvaa vizuri Prime Time promotion wasimualike tena wanajivunjia heshima.

   ReplyDelete

  Item Reviewed: jiachie kimatukio zaidi ya hapa na pale na wadau...! Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top