Monday, November 29, 2010

Maalimu Gurumo atoka icu

Mwanamuziki wa siku nyingi Mzee Makasy akimjulia hali mwanamuziki mwenzie Maalimu Muhindini Gurumo (KAMANDA) aliyelazwa hospital ya Taifa Muhimbili,Uncle Gurumo yupo wodi ya Mwaisera namba 1 kwa sasa baada ya kutoka katika chumba cha wagojwa wenye uangalizi maalumu (ICU).Kumradhi kwa picha hazionekani vizuri.Picha kwa hisani ya Rajab Mhamila.

Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

mungu amjalie afya mzee wetu..bado anahitajika na familia yake pa1 na wapenda muziki