Monday, November 29, 2010

Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

Jamani nadhani wakati umefika kukubali kuwa kuna binadamu wana akili na usharp wa ziada. tunakoelekea huyu bwana anatakiwa atambuliwa rasmi kwa uwezo wake mkubwa wa kubuni na kufanikisha malengo na matakwa yake ya kujiingizia pesa na ikibidi apewe kazi maalum ya kubuni jinsi nchi itavyojipatia hela tunufaike wote badala yake peke yake na familia yake. kwa kifupi ameshatuzidi akili tukubali tu