Nimepita mapema leo barabara ya Sokoine Drive,jijini Dar ambako lipo jumba hili la Wana wa Freemasons,ambapo pia inaelezwa kuwa kuna wimbi kumbwa la watu wakijiunga na chama hicho,Wenyewe hata sijui wanajiunga vipi kwa njia ya namna gani.?.
hawa watu ni balaa,ni sawa na mafia hawa lakini kwa mtaka fedha basi ajiunge nao ana atazipata ila maisha yake hayatakuwa ya raha .....jaribuni kuwasoma kwanza kabla ya kuingia....chama cha kina Obama hicho...
Kuna Maoni 7 mpaka sasa.
hawa watu ni balaa,ni sawa na mafia hawa lakini kwa mtaka fedha basi ajiunge nao ana atazipata ila maisha yake hayatakuwa ya raha .....jaribuni kuwasoma kwanza kabla ya kuingia....chama cha kina Obama hicho...
wachungaji/mitume na manabii/pamoja na masheikh wengi maarufu ni wanachama halali wa freemansoor wanahudhuria vikao vyote pamoja na kulipa ada
me nataka kujua sokoine drive wako karibu na jengo gani maana nataka kujiunga nao
me nataka kujua sokoine drive wako karibu na jengo gani maana nataka kujiunga nao
we unauliza wanajiungaje, unataka kujiunga, post vitu vya maana, we mshamba sana.
anoy 3.57pm unafanya nini humu kwa washamba sasa ? nenda kwenye blog za wajanja sasa...umelazimishwa nini ??
Akaunti yako ina Bilioni Ngapi? Jiulize kwanza! halafu angalia acha kufatilia fatilia mambo yasiyo kuhusu....
Post a Comment