Wednesday, September 29, 2010

Mzee hamsini kutia nakshi nakshi onyesho la kanga za kale.!

Mama Asia Idarous Hamsini ambaye pia ni mkongwe katika fani ya ubunifu wa mavazi amenaswa na kamera Jiachie usiku huu ndani ya Uwnja wa ndege wa kimataifa wa Mwl JK Nyerere alipokuwa akimpokea mumewe Mzee Hamsini kutoka huko Ughaibuni ,ambaye ametua rasmi kwa ajili ya onyesho la usiku wa Kanga za Kale litakalofanyika ijumaa usiku katika ukumbi wa Diamond VIP.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.