HABARI YAKAZI, KAKA MIMI NIKIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 26, NINA ELIMU YA FORM FOUR DARAJA LA TATU .
KAKA KAMA ILVYO KAWAIDA WIMBIKUBWA LA VIJANA WANA MAIZA KIDATO CHA NNE ILA NAMNA YA KUJIENDELEZA INA KUA NGUM KUTOKANA
NA HALI ZA KIUCHUMI.
NIWAZI NIMEJARIBU KUJIKUSANYA KWAKUFANYA KIBARUWA NA MPAKA SASA NINA $2000. JE NICHUO KIPI NINAWEZA KUPATA ELIMU YA I.T. INFORMATION technology katika ngazi za shahada nje ya nchi. Please naomba mchango wako wa mawazo.
Regards,
Mahuba H. Hilaly
Vodashop Consultant- Kigoma
Mob:(+255) 752 855 116 begin_of_the_skype_highlighting (+255) 752 855 116 end_of_the_skype_highlighting












Kuna Maoni 7 mpaka sasa.
UTAWEZA? MAANA HIYO DOLA 2000 NI YA TICKET KWENDA NJE (ULAYA NA MAREKANI) ILA UNWEZA KWENDA KIU UGANDA AU KILE CHUO CHA UGANDA KIKO GONGOLAMBOTO
$ 2000 hiyo ni nauli ya kwenda nakurudi tu.
Sasa nje kufanya nini tena ndugu yangu na wakati kihela chenyewe cha nauli tu. Kuna vyuo vingi vinatoa IT hapa TZ.Anza na cheti halafu utafikia unachotaka. Kua mvumilivu na usipende mkato mdogo wangu.Kuna UCC, KIU, IFM,na hata vya kusoma ukiwa hapo hapo kazini.Mawazo ya kwenda nje siyapendi kabisa manake utaona aibu kurudi baadae mambo yakiwa magumu.
wewe anonymous wa hapo juu IFM hawezi soma kwanza hana qualification pili iyo ela ni ya stationary tuu labda akasome hapo UCC
soma kwanza form six dogo unaweza ukapiga fresh zen ukapata ufadhili na serikali!iyo ela tumia pigia book ya form six,kusoma nje sio dili bongo kuna elimu nzuri sanaa!
pia ndugu yangu qualification yako ni ya mashaka si unajua kuna strong competition,so iyo ela wewe tumia ama kusomea form six kama kaka alivyo sema hapo juu zen unawezapata wafadhili tena wa serikali!
wazo la kutoka nje silifagilii sana,jamaa kasema bongo kuna elimu nzuri tu nami namuunga mkono
Dola 2000?hapo bado nauli,ada,kulipia hosteli,malazi?mhh ni bora ufikilie tena ndugu yangu!hapo umekulupuka kutaka kwenda njee!soma bongo wewe!
Post a Comment