Mbunifu mkongwe wa mavazi hapa nchini,Mama Asia Idarous Hamsini wa Fabak Fashions akizungumza leo asubuhi na waandishi wa habari kuhusiana na onyesho lake la usiku wa kanga za kale 2010.===== = ==== ===== ====
ASIA IDAROUS FABAK FASHIONS WANAKULETEA (USIKU WA KANGA ZA KALE-2010 ) SIKU YA IJUMAA TAREHE 1 OCTOBA NDANI YA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE VIP HALL .
KUTAKUWEPO NA BURUDANI YA JAHAZI MODERN TAARAB KWA UDHANIMI WA TUSKER LAGER, MICHUZI BLOG, ANTELOPE TOURS, VAYLE SPRING, EVENTLIGHTS, MYRIAD, BIG SOLUTION, CHANNEL TEN, MAGIC FM, CLOUDS FM, MLIMANI TV, TBC1, I-VIEW PHOTOGRAPHY,SHEAR ILLUSION, NEW HABARI CORPORATIONS, MICHUZIJR BLOG, FULL SHANGWE, 8020 BLOG, ABAYA CENTER, NA GEMA SOUND. NI ONYESHO LA MAVAZI YA KANGA NA VIONJO VYAKE.
NYOTA WAIMBAJI WA TAARAB KAMA KHADIJA KOPA, RUKIA RAMADHAN, SABAH MUCHACHO NA BABY MADAHA WA BSS WATATUMBUIZA PAMOJA NA HAYO WABUNIFU WA MAVAZI PAMOJA NA MASTAR KIBAO WATAPANDA JUKWAANI KUONYESHA MAVAZI YA KANGA.
MADHUMUNI YA ONYESHO HILO NI KUKUZA HADHI YA KANGA KWA NI MOJA YA VAZI LA UTAMADUNI KWA MTANZANIA, KIINGILIO NI 10,000 NA 20,000 KWA VITI MAALUMU, PIA MAVAZI YATAUZWA NA VIONJO VYAKE BAADA YA SHOW.
Pichani kulia ni Afisa Mawasiliano Mwandamizi wa kampuni ya bia ya Serengeti,Bw. Iman Lwinga akizungumza machache mbele wa waandishi wa habari leo asubuhi ndani ya ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Regency,jijini Dar kuhusiana na udhamini wao kupitia bia yao ya Tusker ndani ya onesho hilo la Usiku wa kanga za kale 2010.












Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment