Monday, September 27, 2010

jk atua shinyanga kwa staili ya pekee,aunguruma ndani ya uwanja wa Kambarage jioni ya leo .

Mgombea ubunge wa CCM jimbo la Shinyanga mjini akiwa na mkewe baada ya kunadiwa na JK uwanja wa Nyerere mjini Shinyanga leo jioni .
JK akinadi Bw. Masele mgombea ubunge shinyanga mjini
JK akihutubia umati wa wanashinyanga leo jioni
Ze original Comedy wakiburudisha uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga leo.
Sehemu ya Umati wa wananchi waliojitokeza kmumsikilia JK leo uwanja wa Kambarage
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili uwanja wa Kambarage Shinyanga Mjini tjioni ya leo tayari kwa mkutano wa kampeni. Mheshimiwa Kikwete aliwateka maelfu ya wana Shinyanga alipoamua kuingia uwanjani hapo bila magari.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.