Thursday, September 30, 2010

Kuna Maoni 5 mpaka sasa.

Maisha bora kwa kila Mdanganyika!

tutafakari nini? si ndio maisha bora mnayoyapigia debe kwenye mablog yenu kila kukicha!!!!

Haya ni Maisha powa nenda kijijini utalia mwenyewe kwani kuna watu hawajui hata akiamka atfanya nini? Uhamuzi upo mkononi mwa kila mtanzania mwaka huu.

Hapo ndipo nilipopanga jamani, mmetowa picha ya nyumbani kwangu, hayo ndiyo maisha sina pa kwenda, mimi ndiyo nawakilisha maelfu ya akima mama tunaofanya biashara ndogo ndogo, kupata mlo kama kutakuwa na wateja siku hiyo.

hii picha kwa ninavyoiona mimi wafanya biashara wawili wote wanauza matembele sehemu moja.