Thursday, September 30, 2010

daraja la vingunguti/msimbazi mbioni kukamilika.

Mkazi wa Vingunguti akikatiza njia ya mkato mbele ya daraja linalotenganisha bonde la Msimbazi na Vingunguti mara baada ya kunaswa na kamera ya Jiachie jana jioni,daraja hilo ambalo lilikuwa kilio kikubwa kwa wakazi wa maeneo hayo liko mbioni kukamilika.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.