Monday, August 30, 2010

timu ya taifa stars kutimka kesho kwenda algeria

Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) Leodgar Tenga (Katikati) akitoa nasaha zake kwa wachezaji wa timu ya Taifa 'Taifa Stars' hawapo pichani wakati akiwaaga, ambapo kesho wataondoka nchini kwenda Algeria kuanza Kampeni ya kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika (CAN).Mechi hiyo itafanyika Septemba 5.kwa habari zaidi ingia ndani ya Bongoweekend

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.