Tuesday, August 31, 2010

mufti mkuu wa zanzibar azikwa leo


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume,(wa tano kushoto)alijumuika na Viongozi wengine katika swala ya Maiti ya Marehemu Mufti Mkuu wa Zanzibar,Sheikh Harith Bin Helef,katika Msikiti wa Mwembeshauri leo.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.