Tuesday, August 31, 2010
Mgomea Urais kwa tiketi ya CHADEMA,Dr. Willblod Slaa akimpa baraka zote na kumnadi wanachama na wapenzi wa chama hicho Mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo, John Mnyika katika kampeni zake za Jimbo la Ubungo na kumhakikishia kuwa naye bega kwa bega katika kuhakikisha wanashinda.
Mpendazoe naye alikuawepo kumnadi Mnyika kwa wananchi wa Ubungo katika ufunguzi wa kampeni za chama hicho Kimara Suca.
Wasanii wa muziki wa Bongo Freva wakiongonzwa na mgombea Ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini,Joseph Mbilinyi a.k.a Mr II (SUGU) wakilishambulia jukwaa la ufunguzi wa kampeni za Mnyika Kimara Suca
Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.
Haya muda wa kutafuta kura huu, twawatakia kila-laheri
Post a Comment