Monday, August 30, 2010

masha afungua mkutano wa mwanaka wa maofisa waandamizi wa jeshi la magereza

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Lawrence Masha akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa maofisa waandamizi wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara leo jijini Dar es salaam.
Kamishna Mkuu wa Magereza Augustino Nanyaro akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Lawrence Masha jana jijini Dar es salaam kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara leo jijini Dar es salaam.

Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dar es salaam

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.