Monday, August 30, 2010

Mama Mwanamwema amnadi mgombea urais wa ccm zanzibar dk shein

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe. Mama Mwanamwema Shein kulia, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Mkoa wa kusini Unguja alipowasili katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kati Unguja Dunga kwa ajili ya kuwahutubia wananchi hao mkutano wa ndani leo.

Mke wa Makamu wa Rais na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe. Mama Mwanamwema Shein, akihutubia Wanawake wa Jumuiya ya UWT Mkoa wa Kusini Unguja kwenye mikutano ya ndani ya CCM uliofanyika leo katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kati Dunga.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.