Tuesday, August 31, 2010

kambi popote ya clouds tv kuzinnduliwa kesho.

Kesho ni Fantastic wednesday ya KAMBI POPOTE ya ClOUDS TV na ANTONIO NUGA'S (pichani) rasmi kuzinduliwa hadharani hapa hapa mjengoni,Mikocheni jijini Dar.kipindi hicho cha burudani na matembezi kitaruka hewani LIVE kupitia CLOUDS TV.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.