Sunday, August 29, 2010

kajua kalee kateremke mama..!

Jua lileee linaishia na giza tayari limekwishaingia.
Jua likihangaika kuzama jioni ya leo maeneo ya Kawe karibu na viwanja vya Tanganyika Pekaz

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.