Monday, August 30, 2010

cuf walivyozindua rasmi mbio za kampeni zao kidongo chekundu

siku CUF walipozindua rasmi kampeni za uchaguzi mkuu
Mwenyekiti wa CUF na mgombea urais wa chama hicho cha wananchi Profesa Ibrahim Lipumba akisalimia wanachama wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni katika viwanja vya Kidongo Chekundu jijini Dar.
Profesa Lipumba akisalimiana na Mh. Hamad mmoja wa wanachama na viongozi waandamizi wa CUF.
Sehemu ya umati wa wana CUF waliofika kwenye mkutanoni chama hicho kwenye viwanja vya Kidongo Chekundu jijini Dar.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.