Salam Ankal,
Mwezi Juni mwaka huu tuzo maarufu ya kimataifa iitwayo Ashden Awards iilitolewa kwa wahusika kadhaa duniani zikiwepo nchi za Afrika Mashariki. Tuzo hiyo hutolewa na shirika maalum lililoundwa na duka maarufu la matajiri wa Uingereza yaani Sainsbury Kutoka katika Ashden Trust Charity ambapo mlezi wake akiwa ni Prince Charles.
Lengo lake ni kusaidia kurekebisha na kuboresha mazingira duniani . Tuzo ya mwaka huu ilitolewa kwa watafiti na wabunifu waliotengeneza zana za kutengeneza umeme kutokana na nguvu asilia za jua yaaani Solar Energy.
Ingawa wabunifu walitoka mataifa mbalimbali ya Marekani, Asia na Afrika washindi pia walihusisha Kenya, Uganda na Tanzania.Umeme Jua, Bio gas( Gas Itokayo kwenye kinyesi cha ng'ombe) ni zana ambayo itawasaidia watu maskini hasa wanaotoka nchi kama yetu Bongo vijijini.
Baada Ya Mafanikio makubwa la movie ya £ovely Gamble Urban Pulse wakishirikiana na Msanii/ Mhariri Freddy Macha Wamepewa mzigo mwingine wa kutengeneza documentary ambayo itakuwa hewani tarehe 2 sept 2010 na kurushwa katika tv za hapa ukerewe na mabara mengine ya ulaya.
Hivyo basi utawala wa Urban Pulse Unawaletea trailer ya documentary hiyo kwa kubofya clip video hiyo hapo juu
Baada ya uzinduzi tutawapatia kipindi chote
Asanteni sana
Urban Pulse Creative












Kuna Maoni 3 mpaka sasa.
Kusema ukweli lovely gumble ni zeroooooooooooo,hakuna cha maana kabisaa labda waseme walitaka tu kuonyesha aeneo ya huko ulaya na matako ya binti,nothing more utumbo mtupu.
kwikwikwi anon umeonaa ehhh,binafsi nimejiuliza wametingisha na nini haswaaaaa.as ulivyosema walitaka kushow off hiyo miji ya ulaya na maplayer ya Reading.KWA MWENDO HUU UKIMWI ULAYA UPOOOO.
ma anon mnaua basi yaisheee,lakini hiyo issue ya maplayer imenitouch yaani ni Danger.Bora mie sijasema sana weraaaaaaaaa.
Post a Comment