
Msanii Diamond akiwa amepozi na densa wake kabla ya kupanda jukwaani.

Vichwa makini kutoka Clouds FM;Mull B,Ncha Kali na Dj Fetty

Mmechisho safi kabisa wa Mfalme wa raha kamili

Kutoka kushoto ni G wala wala,B Dozen,Joe Makini na Nick Mbishi wa Pili

Mdau akiwa amepozi Wafamle wa raha kamili

Msanii Roma (nyeupe) akiwa amepozi na mashabiki wake kwa picha.

Amin,Lina pamoja na Mwasiti katika pozi la picha kabla ya kupanda jukwaani usiku wa kuamkia leo katika tamasha la Fiesta jipanguse lililofanyika ndani ya Musoma Hotel,na leo tamsha la Fiesta linahamia jijin Mwanza ambapo linafanyika Usiku ndani ya Yatch Club na kesho Uwanja wa CCM Kirumba.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment