rais kikwete awaapisha manaibu katibu wakuu leo ikulu - JIACHIE

JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

rais kikwete awaapisha manaibu katibu wakuu leo ikulu

Share This

Rais Jakaya Kikwete leo Amewaapisha Manaibu Katibu Wakuu Tisa [kulia] Kwa Rais ni Bi,Maria Bilia na {kushoto} Kwake ni Bi, Nuru Mrisho Mlao Hafla hiyo ya Kuapisha ilifanyika leo Ikulu. Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Miundombinu (kulia) Balozi Hebert Mrango akipongezwa na Rais Kikwete babada ya kumuapisha leo I
Muono wa Manaibu Katibu Wakuu wa Wizara mabalimbali kabla ya sherehe ya kuapishwa Ikulu leo na Rais Jakaya Kikwete
Makatibu Wakuu wa Wizara mabalimbali wakiwakatiak sherehe ya kuapishwa Manaibu Katibu Wakuu Ikuu Leo.
Baadhi ya Makatibu wakuu wa wizara mbalimbali na watendaji serikalini waliohuhuria katika sherehe za kuwaapisha Manaibu Katibu h.ao
Baadhi ya Manaibu Katibu Wakuu wapya kabla ya kuapishwa leo Ikulu Dae es Salaam na Rais Jakaya Kikwete.(Picha Juma Kengele Ikulu na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad