Saturday, July 31, 2010

rais karume apiga kura ya maoni zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid
Karume,akitumbukiza kura yake,katika kituo cha kupigia kura ya Maoni, ya kuwezesha Uundwaji Serikali ya Kitaifa ya Zanzibar,katika Skuli ya Msingi ya Kiembesamaki Wilaya Magharibi jana,Uundwaji wa Serikali hiyo ya Kitaifa ni baada ya Uchaguzi Mkuu ujao wa mwezi Octoba mwaka 2010.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid
Karume,akikabidhi kitambulisho cha upigaji wa kura kwa karani No 1 Asha Mustafa Abdalla,katika kituo cha upigaji wa kura ya maoni cha Skuli ya Msingi Kiembesamaki leo.Picha na Ramadhan Othman Ikulu,Zanzibar.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.