Saturday, July 31, 2010
Mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mabere Marando, ambaye alijunga na chama hicho hivi karibuni akitokea chama cha NCCR Mageuzi, akiwahutubia wakazi wa jiji la Mwanza, katika mkutano wa hadhara wa kuomba kudhaminiwa, aliuofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha jana
Mwenyekiti wa CHADEMA akiwatambulisha wakazi mjini Mwanza.
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Deokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, akilakiwa na wakazi wa mji wa Musoma, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Musoma, akitoea Arusha jana, ambako alikwenda kuomba udhamini.
Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.
huyu ndie rais wetu wa tano!!!!!!!! yesssssssss
Post a Comment