Stori zaidi mpaka wapatikane wahusika waweze kulizungumzia hili swala.
Kikosi cha zima moto pamoja polisi wa usalama wamekwisha eneo la tukio, na kazi ya uzimaji moto huo unaendelea mchana,chanzo cha moto huo bado hakijajulikana
Maduka mamwili yameteketea kwa moto likiwemo lile ambalo moto umeanzia na mgahawa mmoja pamoja na maduka matano ya jirani na moto huo yaliathirika kwa kiasi kikubwa,Angalau wahusika wa maduka hayo wamefanikiwa kuokoa mali zote na mengine zaidi ya saba nao wamewahi kutoa mali zao nje kwa kujihami na moto huo,ambao kikosi cha zima moto kiliwasili kupambana moto huo ambao chanzo chake hakijajulikana mpaka sasa.Picha kwa hisani ya Dr Boha wa COCONUT FM,Zanzibar.




















Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment