Sunday, June 27, 2010

shoo love na miss ilala 2010


Vijana wa kazi wa Clouds TV wakiwa wamepozi na mshindi wa Redds Miss Ilala 2010,Bahati Chande,Bahati ameibuka na taji hilo kwa kuwapiku walimbwende takriban 17 waliopanda jukwaani na kuonyesha manjonjo yao,shindano hilo limefanyika jana usiku katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar,ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Diwani viti maalum wilaya ya Ilala,Ritha Kabati

Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

miss gani mbaya hivyo.duu kweli bongo hakuna warembo tumeishiwa