Habari iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde,imeripoti kuwa msanii mkongwe wa muziki wa hip hop nchini,Joseph Mbilinyi a.k.a Mr II amekamatwa leo mapema asubuhi na watu wanaodaiwa kuwa ni wanausalama wakati anakwenda kwenye kikao cha press talk kinachofanyika kila siku ya jumatatu katika ukumbi wa mikutano wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA),sababu ya kukamatwa kwake bado hazijajulikana na haijulikani wamekwenda nae wapi.
Globu ya Jamii inafuatilia kutaka kujua mustakabali mzima wa kukamatwa kwake na italeta taarifa kamili hapo baadae.hivyo tuvute subira.
Kuna Maoni 5 mpaka sasa.
Kaka umejiingiza mwenyewe kwenye matatizo baada ya kujiingia kwenye chama cha kipanzani , ulitegemea nini ? wewe piga muziki achana na mambo ya siasa kama unataka huwe na mafanikio ktk fani yako ya muziki. sasa ndio utajua chumvi na pilipili iwapi mwanawane hiyo ndio bongo kaka .
Safi sanaa!!!.. I think Game imekushinda, unatafuta ukorofi tu, Ki ukweli muziki wewe uliweza zamani, sasa hivi kuna vijana wanatoka na game wanaliweza...
Mambo ya AntiVirus nini?... Pole.. Mtu Mzima.. Ovyoooo!!!

You guyzz ni nini mnasema hapa....hii ni free country bwana.. si mtu naweza join chama chochote..hizo commnets zenu mkatoe kwa madereva wa baba zenu
Post a Comment